Diamond and Zari kwenye red carpet Zari All White PartyMay 1 2015 kulifanyika party iliyosubiriwa, party ya kwanza Tanzania kuandaliwa na Msanii wa bongofleva na ikawa na kiingilio cha bei kubwa na bado ticket zikaisha, ticket za gharama zilikua za milioni tatu na zilikua 10 na zilinunuliwa ndani ya dakika 300.

Facebook